Recent content by NARCO

  1. N

    Je, Wataka Kujenga Familia Yenye Afya Bora?

    Tuna ranchi zetu ambazo ni West Kilimanjaro ipo Kilimanjaro, Mzeri Hill ipo Tanga, Kongwa ipo Dodoma, Kikulula ipo Bukoba, Ruvu, Kalambo ipo Sumbawanga, Mkata ipo morogoro,Missenyi ipo kagera, Kagoma na Mabale. Hivyo basi kupitia Ranchi zote hizo unaweza kujenga Familia yenye Afya Bora kwa...
  2. N

    Je, Wataka Kujenga Familia Yenye Afya Bora?

    Je, wataka Kujenga Familia Yenye Afya Bora? Pata “NARCO Kongwa Beef” “Kongwa Beef” ni Nyama yenye Ubora wa Kimataifa inayozalishwa na Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO). Kuweka oda yako piga simu kwa: =================================...
  3. N

    nafasi za wakala mauzo na wafanyabiashara watakaoanzisha vituo vya mauzo.

    NATIONAL RANCHING COMPANY LIMITED(KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED) NAFASI ZA WAKALA MAUZO (SALES AGENTS) WA NYAMA YA “KONGWA BEEF”NA NGOMBE HAI WATAKAOANZISHA VITUO VYA MAUZO AU MADUKA YA NYAMA (BUTCHER) KOTENCHINI “Kongwa Beef” ni Nyama yenye Ubora waKimataifa...
  4. N

    Nafasi za Wakala Mauzo, Wafanyabiashara-Watakaofungua Vituo vya Mauzo ya Kongwa Beef Na Ng'ombe Hai

    NATIONAL RANCHING COMPANY LIMITED(KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED) NAFASI ZA WAKALA MAUZO (SALES AGENTS) WA NYAMA YA "KONGWA BEEF"NA NGOMBE HAI WATAKAOANZISHA VITUO VYA MAUZO AU MADUKA YA NYAMA (BUTCHER) KOTENCHINI "Kongwa Beef" ni Nyama yenye Ubora waKimataifa...
  5. N

    Tangazo la ng'ombe wanaouzwa katika ranchi za Ruvu, Kongwa na Mzeri Hill - Tanga

    KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED “NARCO” TANGAZO LA NG’OMBE WANAOUZWA KATIKA RANCHI ZA RUVU, KONGWA NA MZERI HILL-TANGA TAREHE: 21/06/2012 Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO) inawatangazia wafanyabiashara wote wa ng’ombe kuwa imeanza zoezi la kuwauza ng’ombe walioandaliwa na wataalamu...
  6. N

    Tangazo la ng'ombe wanaouzwa katika ranchi za Ruvu, Kongwa na Mzeri Hill - Tanga

    KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED"NARCO" TANGAZO LA NG'OMBE WANAOUZWA KATIKA RANCHI ZA RUVU, KONGWA NA MZERI HILL-TANGA TAREHE: 21/06/2012 Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO) inawatangazia wafanyabiashara wote wa ng'ombe kuwa imeanza zoezi la kuwauza ng'ombe walioandaliwa na wataalamu...
  7. N

    Kongwa Beef kutoka NARCO sasa yaingia ofisini na nyumbani kwako

    Mkuu duka letu lipo Mtaa wa Nkurumah.
  8. N

    Kongwa Beef kutoka NARCO sasa yaingia ofisini na nyumbani kwako

    lipo Mtaa wa Nkurumah,karibu sana
  9. N

    Kongwa Beef kutoka NARCO sasa yaingia ofisini na nyumbani kwako

    Ndugu sikonge tunashukuru kwa ushauri wako kwani tunaufanyia kazi,lakini tunaombi moja ,unaonaje kama tukikutumia form yetu ukajaribu kutusaidia kuorodhesha majina ya majirani zako pamoja na idadi watakazo chukua ili siku ambayo tutakuja hapo kwenye flats zenu tujue kuwa tunakuja na Oda ambazo...
  10. N

    Kongwa Beef kutoka NARCO sasa yaingia ofisini na nyumbani kwako

    Asante sana kwa ushauri,lakini sasa ivi tuna cuttings za aina zote ,karibu sana.
  11. N

    Kongwa Beef kutoka NARCO sasa yaingia ofisini na nyumbani kwako

    habari, figo inapatikana pale dukani kwetu na kg 1 ni sh.7,500,karibu sana:welcome:
  12. N

    Kongwa Beef kutoka NARCO sasa yaingia ofisini na nyumbani kwako

    Nyama yetu kweli ni tamu,na ukifanikiwa kuila hautatamani kuiacha.:smile:
  13. N

    Kongwa Beef kutoka NARCO sasa yaingia ofisini na nyumbani kwako

    Asante kwa maoni.Je,utaitaji tukuletee kg ngapi?:decision:
  14. N

    Kongwa Beef kutoka NARCO sasa yaingia ofisini na nyumbani kwako

    Asante kwa maoni. Je, tukuletee kg ngapi,tunasubiri kusikia kutoka kwako.:decision:
  15. N

    Kongwa Beef kutoka NARCO sasa yaingia ofisini na nyumbani kwako

    Tunashukuru kwa maoni yako. Kwa kipindi cha muda mfupi ujao, twitter yetu itakuwa hewani. Je, tukuletee kg ngapi za nyama.:smile:
Back
Top Bottom