Nafasi za Wakala Mauzo, Wafanyabiashara-Watakaofungua Vituo vya Mauzo ya Kongwa Beef Na Ng'ombe Hai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za Wakala Mauzo, Wafanyabiashara-Watakaofungua Vituo vya Mauzo ya Kongwa Beef Na Ng'ombe Hai

Discussion in 'Matangazo madogo' started by NARCO, Aug 27, 2012.

 1. N

  NARCO Verified User

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&amp]
  [/FONT]


  [FONT=&quot]NATIONAL RANCHING COMPANY LIMITED[/FONT][FONT=&quot](KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED)[/FONT]
  [​IMG]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot]NAFASI ZA WAKALA MAUZO (SALES AGENTS) WA NYAMA YA "KONGWA BEEF"NA NGOMBE HAI WATAKAOANZISHA VITUO VYA MAUZO AU MADUKA YA NYAMA (BUTCHER) KOTENCHINI[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot] "Kongwa Beef" ni Nyama yenye Ubora waKimataifa inayozalishwa na NARCO, Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited ambayohivi sasa inafanya maboresho ya namna ya kuwafikia wateja wake wa nyama ya"Kongwa Beef". Ili kuhakikisha tunawapatia wateja wetu huduma zinazozidimatarajio yao, tumeamua kutoa nafasi za WakalaMauzo "Sales Agents" WatakaoanzishaVituo vya Mauzo Kote Nchini-Tanzania Bara na Zanzibar. Hii ni fursa muhimu sanakwa wale wote wanaopenda kuwekeza katika Biashara ya Nyama, Ng'ombe Hai auBidhaa zingine za Ranchi za Taifa kama vile Mbuzi na Kondoo ambao wanapatikanakatika Ranchi za Kongwa, Ruvu, Mzeri Hill-Tanga, Kalambo-Sumbawanga na WestKilimanjaro.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot] MAJUKUMU YA WAKALA MAUZO WA "KONGWABEEF" AU NG'OMBE HAI[/FONT]· [FONT=&quot]Kutangaza Ubora wa Bidhaa Za Ranchi za Taifana kushawishi wateja kununua Nyama ya "Kongwa Beef", Ng'ombe Hai na Mifugo minginekama vile Mbuzi na Kondoo wanaopatikana katika Ranchi za Mzeri-Hill Tanga,Kongwa, Ruvu, Kalambo-Sumbawanga na West Kilimanjaro.[/FONT]· [FONT=&quot]Kununua na Kuuza Nyama ya Kongwa Beef na/auNg'ombe Hai.[/FONT]· [FONT=&quot]Kuelimisha wateja wajue Ubora wa Nyama ya KongwaBeef na bidhaa zingine za Ranchi za Taifa.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]VIGEZO VINAVYOHITAJIKA[/FONT][FONT=&quot]Mwombaji:-[/FONT]
  · [FONT=&quot]Awe na bucha/duka la Nyama, au [/FONT]· [FONT=&quot]Awe na Uwezo wa Kuanzisha Kituo cha Mauzo yaNyama-Bucha/Duka la Nyama na Kuuza "Kongwa Beef" Pekee katika eneo analopendakufanyia biashara ya nyama.[/FONT]· [FONT=&quot]Awe na uwezo mkubwa wa kutoa hudumainayozidi matarajio ya wateja[/FONT][FONT=&quot].[/FONT]· [FONT=&quot]Awe na Leseni ya Biashara.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]NAMNA YA KUTUMA MAOMBI[/FONT]
  · [FONT=&quot]Andika barua ya Maombi na uambatanishe WasifuWako ("CV") pamoja na barua kutoka kwa wadhamini watatu (3). Barua ziwe nanamba za simu za wadhamini na picha zao[/FONT]· [FONT=&quot]Ambatanisha namba za simu na anuani ya baruapepe kama unayo.[/FONT]· [FONT=&quot]Ambatanisha barua kutoka kwa Serikali zaMitaa iliyogongwa Muhuri na yenye picha yako.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Maombiyote yatumwe kwa:[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]MenejaMkuu,[/FONT][FONT=&quot]Kampuniya Ranchi za Taifa Ltd (NARCO),[/FONT][FONT=&quot]MavunoHouse, Azikiwe Street,[/FONT][FONT=&quot]S.L.P9113,[/FONT][FONT=&quot]Dar esSalaam.[/FONT][FONT=&quot]Simu :+255 22 211 0393/211 1956[/FONT][FONT=&quot]BaruaPepe: [/FONT][FONT=&quot]info@narco.co.tz[/FONT][FONT=&quot]Tovuti: [/FONT][FONT=&quot]www.narco.co.tz[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Tumamaombi yako kwa kuleta mwenyewe ofisini au kwa Posta. Kila tutakapopokea maombitutayafanyia kazi mara moja.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]*********WahiWateja Wanatusubiri Tuwahudumie**********[/FONT]
   
Loading...