Tangazo la ng'ombe wanaouzwa katika ranchi za Ruvu, Kongwa na Mzeri Hill - Tanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la ng'ombe wanaouzwa katika ranchi za Ruvu, Kongwa na Mzeri Hill - Tanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by NARCO, Jun 22, 2012.

 1. N

  NARCO Verified User

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED"NARCO"
  TANGAZO LA NG'OMBE WANAOUZWA KATIKA RANCHI ZA RUVU, KONGWA NA MZERI HILL-TANGA
  TAREHE: 21/06/2012

  Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO) inawatangazia wafanyabiashara wote wa ng'ombe kuwa imeanza zoezi la kuwauza ng'ombe walioandaliwa na wataalamu waliobobea na kwa teknolojia rafiki kwa afya za walaji kupitia Miradi yake Kabambe ya Mifugo iliyoko Ranchi za Kongwa, Ruvuna Mzeri Hill-Tanga. Ng'ombe wetu hawana mpinzani kwa ubora na bei.

  Kwa Mawasiliano:

  Meneja Masoko

  National Ranching Company Ltd (NARCO)
  Mavuno House, Azikiwe street
  P.O. Box 9113
  Dar Es Salaam
  United Republic of Tanzania
  Fax +255 22 211 1956
  Mob +255 753002035
  +255 715831241
  +255 787831241
  skype:mnzava.immanuel
  Web:www.narco.co.tz
  ==============================

  For Quality & Affordable Beef
  ==============================
   
 2. m

  mob JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  je ngombe wa maziwa wanapatikana?
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  U just call them!
   
 4. N

  NARCO Verified User

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED
  “NARCO”
  TANGAZO LA NG’OMBE WANAOUZWA KATIKA RANCHI ZA
  RUVU, KONGWA NA MZERI HILL-TANGA
  TAREHE: 21/06/2012
  Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO) inawatangazia wafanyabiashara wote wa ng’ombe kuwa imeanza zoezi la kuwauza ng’ombe walioandaliwa na wataalamu waliobobea na kwa teknolojia rafiki kwa afya za walaji kupitia Miradi yake Kabambe ya Mifugo iliyoko Ranchi za Kongwa, Ruvuna Mzeri Hill-Tanga. Ng'ombe wetu hawana mpinzani kwa ubora na bei.Kwa Mawasiliano:

  Meneja Masoko
  National Ranching Company Ltd (NARCO)
  Mavuno House, Azikiwe street
  P.O. Box 9113
  Dar Es Salaam
  United Republic of Tanzania
  Fax +255 22 211 1956
  Mob +255 753002035
  +255 715831241
  +255 787831241
  skype:mnzava.immanuel
  Web:www.narco.co.tz
  ==============================

  For Quality & Affordable Beef
  ==============================
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kwanini usiache aliyeleta Tangazo ajibu swali?...au ni mtu mmoja IDs tofauti!!
   
 6. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sioni sababu yoyote ya kuweka hili tangazo hapa kama mtuanapigasim zilowekwa hapo hazipo hewani nini manayake wabongo bwana shida tupu sio watu wa kazi na hilishirika litakufa kama ndohivi nasiku ya tatu natafuta mawsiliano na huyo meneja masoko sijui yupo mtera
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Hizi number ya mawasiliano ya hewani uliotuwekea haujakosea kweli?

  Ni siku ya pili sasa napiga ktk kila baada ya masaa kadha majibu ni mepesi sana kwn unasikia "NAMBARI UNAYOPIGA KWA SASA HAIPO HEWANI" ktk mitandao yote!

  Hebu zicheki vizuri halafu utujuze!

  La sivyo ningeomba Mods waifute thread hii. (USHAURI WANGU)
   
 8. C

  Changamoto2015 JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2013
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 757
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  I hope mmerekebisha kipengele cha mawasiliano! Watanzania tubadilike, tuwe serious na biashara zetu
   
 9. E

  El-cohel JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2013
  Joined: Jul 24, 2013
  Messages: 206
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bei?

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 10. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2013
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Did you check the date and a year of this post?
   
Loading...