Recent content by Nangu Nyau

  1. Nangu Nyau

    Rostam Maelezo yake yamenyooka na yanaeleweka. Huenda Mtangazaji ndiye ameshindwa kumhoji

    Hakuna mfanyabiashara giant ambaye Hana ukaribu na viongozi kuanzia USA to Msumbiji. Hatuwezi kumchagulia RA marafiki eti kwasababu Sisi hatutaki awe na urafiki na viongozi. Kosa tunalolifanya ni kushindwa kujifunza Kwa hawa jamaa namna ya kugenerate generation wealthy, maana hawa watu toka...
  2. Nangu Nyau

    Rostam Maelezo yake yamenyooka na yanaeleweka. Huenda Mtangazaji ndiye ameshindwa kumhoji

    nina wasiwasi hata na hicho kilimo chenyewe kama tunajua pia. Safarini Tandika Tanzania.
  3. Nangu Nyau

    Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Max ni kama umechukua uamuzi wa haraka bila ya kuwa na utulivu, naamini ungeweza kutumia platform hiyohiyo kuwaelewesha wahusika nini ni nini naamini kuna mahala mngefika. Sidhani kama maamuzi uliyochukua yalikuwa na utulivu na sio panic na kujaribu kufight back yaliyotokea. Safarini Tandika...
  4. Nangu Nyau

    Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    Sasa mtu toka 1987 anafanya construction mnataka asiwe tajiri. safarini Tandika Tanzania.
  5. Nangu Nyau

    Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    Hapana, hana taarifa sahihi za mambo mengi. Alipokuwa na uwezo wakuwa karibu na JPM awamu ya tano basi aliamini anajua kila kitu cha nchi hii kumbe sikweli anajua vichache sana tena vingine juu juu. Mtu mwenye taarifa sahihi ukimsikiliza katikakati ya mistari utajua tu. Inaonekana hata...
  6. Nangu Nyau

    Rostam: Baada ya Lowassa kukatwa niliondoka lakini Magufuli alinipigia simu na kunisalimia kwa kisukuma akaagiza nirejee nyumbani tujenge nchi

    hahahaha mkuu lazima nije sio tu mbuzi, napenda sana wale madada wavaa madela wanakuwa na burudani sana hasa kwetu sisi tunaohitaji mapumziko baada ya kazi ngumu sana na mateso sana. safarini Tandika Tanzania.
  7. Nangu Nyau

    Rostam: Baada ya Lowassa kukatwa niliondoka lakini Magufuli alinipigia simu na kunisalimia kwa kisukuma akaagiza nirejee nyumbani tujenge nchi

    Kuweka record vizuri. 2013 - 2015 RA hakuwa anaonekana Tanzania. Hapo ndio maana alisema walitofautiana na mtandao. Baada ya 2015 - 2020, issue ya Barrick ikiwa hot RA alionekana Lumumba akimuendesha EL kurudi nyumbani CCM. Na ndio kipindi pia CEO wa Barrick Mark Bristol alionekana Ikulu akiwa...
  8. Nangu Nyau

    Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    Intra energy 70%. GOT kupitia NDC 30%. Together ilikuwa Tancoal. Taifa group wameacquire hizo 70% za Intra energy. Safarini Tandika Tanzania.
  9. Nangu Nyau

    Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    Intra energy Australia 70%.. Kimsingi RA alinunua hisa 70% za Intra energy tena alikuwa akimdai intra energy na walikuwa na contractual dispute mahakamani. Watu wengi huwa ni oyaoya hawana taarifa sahihi, hata HP katika hili kaingizwa chaka Hana taarifa sahihi. Shida ya watanzia tunapenda sana...
  10. Nangu Nyau

    Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    Sidhani kama una taarifa sahihi. Yes, Caspian alikuwa mtoa huduma pale Tancoal, Je intra energy walikuwa wakimlipa Caspian?.. Kulikuwa na contractual dispute ya Caspian akimdai Intraenergy zaidi ya Bil 13 baada ya kutoa huduma bila kulipwa. Intra energy alikuwa na 70% na Serikali kupitia NDC...
  11. Nangu Nyau

    Rostam Aziz: Mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi

    Ndugu, sio kila tuhuma ukituhumiwa lazima ujibu, kuna wakati mwingine unaona kabisa ni upumbavu na kujibu unapoteza muda wako na reputation yako tu. Tuhuma zote alizoleta HP hakuna hata moja yenye ushahidi zaidi ya hear says, HP angeweka mezani any documents zinazoonyesha kuna fraud mahala...
  12. Nangu Nyau

    Mzee Yusufu Makamba kwenye Kampeni Mwaka huu

    Unajua umri wa huyo Mzee kwasasa kiasi cha kuanza kukimbizana na Kampeni?. Safarini Tandika Tanzania.
  13. Nangu Nyau

    Mzee Kikwete kwenye hili umekosea kiapo chako na historia itahukumu

    Pale Ndani kwanini wanachama wa CCM wenyewe walikubali na hawakupinga?.. Kwanini kesi imefunguliwa na mwanachama mmoja au wawili na sio kundi la wanachama likiwakilishwa na mwanasheria?.. Mbona hatuoni matawi ya CCM yakipinga huo Utaratibu zaidi ya kumuunga mkono mgombea wao?. Kama Wana CCM...
  14. Nangu Nyau

    Rostam Aziz: Mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi

    Aisee, issue ni recorded interview au issue ni kuongea aliyotaka kuyaongea? Mkuu una ushahidi wa hayo unayoyasema au nawewe umesikia tu? na uliyesikia kwake naye kasikia mahala?.. Issue ya makaa na Mwadui, HP Hana taarifa sahihi za kwenye ground ni vyema aende akazitafute kuliko kuja na...
  15. Nangu Nyau

    Rostam Aziz: Mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi

    Unamfahamu Rostam vizuri lakini?.. Kwani kunahitaji akili kiasi gani kuyaongea aliyoyaongea RA.. Mbona kila kitu kiko wazi? Safarini Tandika Tanzania.
Back
Top Bottom