Recent content by Nangoro

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

    Ufurahie kwa kuwaibia wananchi maskini hela zao.Magufuli shujaa aliwazuia kutanua na kodi zetu.Mmepata uhuru sasa mmevimbiwa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

    Lema yupo sahihi kabisa.Ulimsikia askofu waRC kule mbulu mbele ya mgeni rasmi mwigulu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Idadi ya Watalii wa Kimataifa Nchini.

    Inasaidia nini kama hali za watanzania inaporomoka sh. inaporomoka
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hapa kuiangalia sheria ya kodi na kanuni zake, Rais Samia umepiga bull

    Sasa watu wengi wanafunga biashara wenyewe kutokana na mitaji kuanguka kutokana na kodi kubwa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Julai 31, 2024: Rais Samia aunda Tume ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi (Presidential Commission on Tax Reforms)

    Walalamikaji wa kodi na tozo walioko field hawapo.Hawa maprofesa wa theory watasaidia nini.Hakuna tofauti na TRA akiona umefungua biashara anaona unapata sana kazi kukubandikia kodi kubwa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

    Umewaona wamasai wakichungamifugo yao na pembeni wako wanyama pori.Bila hivyo tour yako ina mapungufu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi ashinda kesi dhidi ya Tanganyika Law Society. Ruksa kugombea Urais wa Chama hicho

    Kweli haki hupiganiwa haiombwi.Poleni machawa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nataka niwape stori za ndani ndani kuhusu kiongozi mmoja nchini

    Huo ni mtaji wa ccm kuwafanya wananchi wawe maskini.na ukiwa maskini huna maamuzi na ipo nchi nzima.Na kuna mbunge bungeni alidai waongezewe mishahara kwa sababu wananchi wanalia shida hivyo huwagawia hela
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Nape Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi na sasa Bahari ipo shwari

    Hii iko vizuri
  10. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Hospitali ya Serikali kwanini inakuwa na huduma ya choo ya kulipia?

    Inakuwaje za private vyoo ni bure na wmejenga kwa hela zoo.Upigaji kila kona
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Viongozi na wanahabari acheni uchawa mnaumiza wananchi

    Mungu tulindie huyu mzee maana naona amebaki pekee kusemea tabaka la chini sisi tusio na sauti
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

    Amepotosha nini na ushahidi wote kauweka hadharani watanzania wengi tumemuelewa ukitoa kundi la machawa
  13. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

    Magufuli hakuwahi kuwa mfujaji wa hela za nchi bali alikuwa na uchungu nazo.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Puto la Makonda linakaribia kupasuka?

    Hii nchi haitaki viongozi wanaowasemea walalahoi.Mungu atampigania Makonda
  15. N

    JamiiForums Tanzania Boniyai Mstaafu Meya alikuwa Mlinzi wa Mbowe kwa Sifa zipi?

    Kwa hiyo ni ajabu secretary kuwa raisi
Back
Top Bottom