Mimi nilipoleta household, nilijua atakula, atashiba, atapendeza then kitaanza kumuwasha,
Nilimpa utaratibu, kwa vile alikuwa mkristo, nikamwambia kila jumapili ni lazima uhudhurie kanisani. Na ikibidi ujiunge na kikundi cha kwaya.
Mpaka anaondoka kwangu sijapata tatizo lolote. Rafiki hebu...