Recent content by namalole

  1. N

    JamiiForums Tanzania Elimu:zijue mbinu za wezi wa fedha kwa kutumia atm

    Jamani mimi waliniibia mwezi ulipopita Swaziland, nilinunua vitu kwenye supermarket moja hivi na hela yangu haikutosa hivyo nikaamua kutumia card yangu ya ATM, baada ya wiki moja kurudi bank sikukuta hata sent Tano , hivyo tujihadhari sana jamani
  2. N

    JamiiForums Tanzania WanaMbozi Mnakubali Godfrey Zambi na Kandoro Kuwapeleka Chunya?

    Kwani wamewahusisha wana mipango miji? Au wamekaa na kupangaa tu? Hata hawaijui vyema geografia ya mbeya/ireje
  3. N

    JamiiForums Tanzania WanaMbozi Mnakubali Godfrey Zambi na Kandoro Kuwapeleka Chunya?

    Mimi nashangaa sana na nilipo iona habari hii nilisikitika sana. Nikweli wachaga wanamaana kubwa sana, kwani mkowa wa kilimanjaro asilimia kubwa wafanyakazi wa wachaga na ndio maana wanauchungu na wananchi wao. Sasa tukiangalia sisi mkoani kwetu hasa hapo wilayani mbozi angalia viongozi asilimia...
  4. N

Back
Top Bottom