hata hizi life guards hatujui kama likitokea la kutokea tutapona,mana hakuna demostration!ni kama wamebeba mizigo humu ,na hapo zilipohifadhiwa sijui palifunguliwa lini ,mana waweza kuta hapafunguki na hayo maboya yashatobolewa na panya ,inasikitisha sana kwakweli
hapa kivukoni tunanyanyasika sana sana sana,yani unakaa foleni ya kivuko two hrs,bado magari mengine yanapita pembeni na askari wanaona wanaochomekea,na wengine wanapata sapoti ya askari kuchomekea,pili hawa wanaoelekeza gari ndani ya kivuko are not proffesional as wanafokea watu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.