Recent content by Namabengo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Bakhressa na Boats za Dar -Zanzibar

    Nakuunga mkono mtoa mada huo wizi uko kote bara na Unguja. Na wao wanakuambia hasa siku kama jumapili. Mimi pia nilisafiri jumapili ile bot ya jioni kutoka unguja kuja Dar na ninakumbuka ilichelewa kuodnoka na watu walijaa mpaka walisimama mle ndani. Ticket zote ziliisha toka Jumamosi...
Back
Top Bottom