Recent content by Nalilia Wanangu

  1. N

    JamiiForums Tanzania NEMC, Kelele za Bodaboda zina sauti kubwa kuliko hata Baa

    Kelele na mirindimo ya Bar inavumilika kuliko Kelele zinazotengenezwa na upangaji na upakiaji wa makontena kwenye Sehemu za kuweka makasha (Contena) maarufu kama Dry Ports zinazoongezeka kila kukicha katika makazi ya watu katika wilaya za Temeke, Kigamboni na Ilala
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kumeibuka wimbi la ujenzi wa ICD usioratibiwa katika jiji la Dar

    • Kumeibuka wimbi la ujenzi wa ICD usioratibiwa katika jiji la Dar • Wilaya zilizoathirika zaidi ni Temeke (kuroka Mbagala hadi Kurasini) na Kigamboni • Nyingi zimejengwa katika makazi ya watu kwa kununua baadhi ya wenye nyumba kwa udalali wa Serikali za mitaa • Uchafuzi wa mazingira kwa...
Back
Top Bottom