Recent content by Nakulapochi Mtoto

  1. Nakulapochi Mtoto

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MSAADA

    Nimeomba chuo fulani lakini nilipoangalia tena taarifa zangu baada ya kufanya submission nikakuta kwamba nimekosea tarehe ya kuzaliwa(nimechanganya mwezi na tarehe). Lakini kwenye kipengere cha ATTACHMENTS hawajahitaji cheti cha kuzaliwa. Je, hii haiwezi kupelekea kukataliwa kwa maombi yangu?
  2. Nakulapochi Mtoto

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Naomba ushauri wa chaguo muhimu baada ya mdogo wangu kuchaguliwa kozi mbili

    Kwa upande wangu naona hiyo ya kwanza inafaa zaidi kwa kuangalia mahitaji yake. Hata hiyo kozi yenyewe inajieleza ni kwa jinsi gani ina wigo mpana
Back
Top Bottom