Recent content by nakukumbusha tena

  1. N

    Swali: Kamati ya Bunge wana haki kisheria kuwapeleka Viongozi wa Serikali Polisi?

    hakuna kamati ya bunge iliyowakamata viongozi wa kiserikali na kuwapeleka polisi, ni polisi ndio waliowakamata na kuwapeleka central,, huu ndo ujinga ambao walitumia wale wa zombe na hatimae akashinda
  2. N

    Orodha ya Majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba hii hapa

    aende kwenye TV na Radio na mwenzake Mkinga wakaendelee kutukana, cha msingi busara imezingatiwa, kama una ushauri hebu tuambie atolewe nani ili awekwe huyo kibamba wako
  3. N

    JKT Awamu ya tatu

    kipindi sisi tuna maliza form six enzi hizo, tulitamani sana jkt, lakini bahati hatukuwa nayo, maana tulikuwa tunakaa mwaka mmoja na miezi minne kusibiri kujiunga na vyuo,, kiasi nyumbani kulikuwa kuna chosha sana, vijana hebu changamkieni hii fursa ya kwenda kupata mafunzo bure, mie hapa hata...
  4. N

    Majina ya ambao hawajachaguliwa na TCU

    jamani, naomba mwenye pdf file ya majina ya watu waliokosa kuchaguliwa kujiunga na vyuo anitumie kwenye e-mail ya abdallahrojo@yahoo.com leo maana pengine kote nimeshindwa kupata hasa ukizingatia muda kiokmo wa kuomba tena ni ijumaa ya wiki hii
Back
Top Bottom