Recent content by Nakiete Mseju

  1. N

    Demokrasia bila upinzani inakuwa dhaifu kwa sababu hakuna anayeuliza maswali magumu

    Demokrasia inatajwa kama mfumo wa utawala unaojengwa katika misingi ya uchaguzi huru na wa haki, utawala wa sheria na uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi. Ukiitazama Marekani moja ya Taifa kubwa duniani, kumekuwa na mabadilishano ya uongozi licha ya kuwa na vyama vikuu viwili vinavyotambulika...
  2. N

    KERO Barabara za Ludewa zimesahaulika sana, mvua kidogo tu tayari hazipitiki na leo magari yamekwama huko

    Kuna maeneo mengi ambayo yana barabara zisizopitika hasa kipindi cha mvuaa. Na kwa sasa viongozi wanapaswa kuweka jicho zaidi ili kuondokana na adha za usafiri kwa magari na hata watembea kwa miguu
  3. N

    Ahadi zisizotekelezwa zinavyotesa Wananchi wengi wa Dar

    Kuna kero zikishughulikiwa maisha ya wananchi yatakwenda vizuri
Back
Top Bottom