''Clouds fm mmefeli'' nilikuwa nasikiliza leo saa moja kasoro asubuhi hii jicho la ng'ombe mtangazaji mwandishi wa habari wa hicho kipindi/kituo anatumia muda mwingi kusuport kauli ya katibu wa bunge wa kutorusha live vipindi vya bunge toka dodoma, kweli huyu mtangazaji sijui anaitwa nani...
makamanda wa arusha tunaomba update za kila sekunde kila dakika na kila saaa, mhimu ni HAKI ITENDEKE kusibakie madoa ya lawama, maana ndizo chanzo ya chokochoko, mwenye haki apewe haki yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.