Msema kweli kipensi cha mungu ...atudanganyiki tena ile budget ulisema heri pesa yote iende kwenye miradi ya kimkakati na si kuongezeana mishahara leo kulikoni utudanganye mchana kweupe...kura yangu kwa Tundu lissu
NEC imethirisha kuwa na mapungufu mengi sana uchaguzi huu nadhani hili linapelekea kurejesha hoja ya msingi ya kuwa na KATIBA mpya...najua hili la Katiba halipendwi kwa utawala wa awamu ya 5
Kama mbwai iwe mbwai Kodi asikusanye Kama hatapelekeqa watu wa chama chake afu unaomba kibabe kwa kufoka aisee... ni kauli za kibaguzi ...nadhani waliomfaham vizuri wanamuepuka kindumbilakuwili tuu
Hizi hoja anazojibu pole pole kwa kwelii zimewagusaa naona ndugu pole pole poovu linamshuka ...wekeni mjadala wa wagombea wenyewe tuwasikie toka kinywani mwao
Siwezi kumchagua Gwajima kwa sababu tuliye mpendekeza wajumbe wamemuengua kwa vigezo vyao nakutuona sisi huku chini atujui maslai mapana ya Jimbo letu ...mwaga mboga nikanyage ugali ingawa nitaungua ila nitapona...
My personal views katika kipindi cha miaka 2016-2020 ni wanajeshi wachache wameludi shule kuongeza elimu ukiachana na course mbali mbali zilizopo ndani ya taasisi yao tunaitaji professors and Doctors wengi ili wajisifu Kama Mkisi...
Nimekumbuka enzi za JITEGEME ukifanya dhambi Kama una mbio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.