Hatimaye HAKI imetendeka Katika kesi ya msingi ilofunguliwa na CHADEMA dhidi ya kuenguliwa mgombea wetu kwa nafasi ya mwenyekiti wa kijiji cha Narakawuo.
Hukumu imeshatoka na tumeshinda kwa kishindo!
Hongera CHADEMA, Hongera wakili wetu James Millya, Viongozi wa Chadema Wilaya Olesanago na...
Mkuu mbona kama unaongea kigambagamba,
Yaani humjui Patrobass Katambi, wala Mwita?
Nawasiwasi wewe ni ACT,
Any way ngoja nikusaidie wewe na vijana wengine wa Lumumba,
PATROBAS KATAMBI mwenyekiti Taifa
JULIUS MWITA katibu mkuu Bavicha Taifa
SITTY MAKUNA Mwenyekiti wa mkoa mmoja huko Zanzibar
Tunawaelewa nyinyi vijana wa CCM, kazi yenu kubwa ni kupandikiza chuki ili kujenga hisia kwa wanachama kuwa hakuna haki ndani ya chama, tunawajua magambaz nyinyi hamna Sera
Mi namuunga mkono kamanda Oleleshwa, kazi aliyoifanya Simanjiro inaonyesha uwezo mkubwa wa kijana huyu mi ningemshauri agombee naibu Katibu mkuu Taifa ile Nafasi ya Zitto, huyu Jembe anaweza Kabisa!
Nianze kwa kutangaza Maslahi mimi ni Mjumbe wa Baraza kuu la CHADEMA
Kwanza wafahamu wajumbe wa Baraza kuu..........
1.VIONGOZI WOTE WA KITAIFA,
2.WENYEVITI WOTE WAMIKOA,
3.WENYEVITI WOTE WILAYA,
4.WENYEVITI WOTE WA MAJIMBO,
Mh Zitto amekuwa na imani na Baraza kuu kwa sababu hii...
Wana Jf,
kuna taarifa kuwa Zitto Kabwe ameweka pingamizi mahakamani kuzuia kikao cha Kamati Kuu kesho kujadili Suala lake hadi Rufaa yake itakapo sikilizwa na Baraza kuu la Chadema.......
watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa kwanini Zitto amekuwa na Imani na Baraza kuu la Chadema kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.