Recent content by Nairoberry

  1. Nairoberry

    VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu akihutubia Wananchi wa Kehancha

    Hii Hatari, wakenya sasa ni kama wamepoteza imani kabisa nae, ila si jambo poa kumdharau Rais ata kama humpendi.
  2. Nairoberry

    Rais Ruto wa Kenya alalamika ni vigumu sana kusifiwa na raia wa Wakenya!

    Kusifiwa baadae,Kazi kwanza,hivi sasa wakenya hawaoni maendeleo yoyote labda kabla muhula wake hujaisha atafanya jambo
  3. Nairoberry

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais Ruto aitisha kikao cha dharura ndani ya saa 48 kujadili mapigano ya Congo na Rwanda

    Ruto Mnafiki Mkuu ana hatarisha sana wakenya uko Congo pamoja na biashara zao. Kagame ni mhuni hakika.
  4. Nairoberry

    Wapinzani wa Tanzania mnaokimbilia huku Kenya mtatuchonganisha, tumieni mbinu kama za Lissu

    Magu anatumia njia bandia sana, hivi kutishia watu maisha kuna aja gani? Kama asha wapokonya viti vya ubunge na kadhalika si aachie apo jemeni.
  5. Nairoberry

    Kenya: Godbless Lema aachiwa kutoka kituo cha Polisi Kajiado. Apatiwa hifadhi nchini Kenya

    Lema ako salama kenya manake mashirika ya kitaifa yatamlinda na serikali ya kenya haina uwezo wowote tofauti manake ikijaribu vinginevyo itajikuta matatani kabisa. Ila hawa wakimbizi kutoka bongo wajichunge magu anaweza geuka kuwa kagame awawinde.
  6. Nairoberry

    Objective Analysis: Tanzanian General Elections 2020(pics & video)

    Uwezekano mkubwa ni mataifa ya magharibu yataiwekea TZ vikwazo, si mchezo kuona bongo ikielekea njia moja kama Zimbabwe.
  7. Nairoberry

    Wakenya, mna kipi cha kutushauri majirani zenu huu uchaguzi?

    Magu ameshangaza dunia nzima. Hata sisi wakenya tumeshangaa mpaka tutakosa lakusema. TZ naona siku za usoni mambo yatawaendea vibaya sana maisha kiuchumi pia yatakuwa magumu. Uchumi utazorota.
  8. Nairoberry

    Kenya Rugby League unveils its logo

    I like the logo. Nimeipenda
  9. Nairoberry

    Uongozi wa Magufuli - GDP

    Kulingana na gazeti la economist. Magufuli ni mpishi wa data za uchumi. Kazi yake ni kuongeza number bure tu ilhali hali ni tete bongo
  10. Nairoberry

    Kenya Tops Angola as Sub-Saharan Africa’s No. 3 Economy

    Dogo unachemsha bongo bure na ukweli ubadiliki. Cheza kamare tu acha wazito washugulikie ili swala. Meza valuu
  11. Nairoberry

    Kenya Tops Angola as Sub-Saharan Africa’s No. 3 Economy

    Acha povu dogo. Kubali Kenya ni bakubwa.
Back
Top Bottom