Kuna proof gani unaweka kutuwekea hapa kuthibitisha kwamba hao wahuni walitumwa na Vice President?
Acheni Siasa za Maji Taka. Mmegundua Vice president ni Threat mkubwa kwenu. Ndio mnaanza kumchafua.
Tittle yako haihusiani na contents inaonyesha una Chuki binafsi na CHADEMA.
Ni vema zaidi ACT mkajenga Chama chenu. Pia CCM Haina vitenga Uchumi Viwanja vyote walijimilikisha kutoka kwa Umma sio vya kwao. Naona wewe ni Wakala wa Uongo wa CCM. Ndio maana watu wengi wana kihusisha ACT na CCM
Pia nataka kuongezea hapo Mr. Lumola faida za Maziwa ya nyuki
kufanya mtu awe mkakamavu, mwenye afya na asiyechoka. Huweza
kuliwa katika hali ya asili, au baada ya kuchanganywa na asali.
Ahsante sana Kahumbi Lumola kwa majibu mazuri mpaka nimeshangaa kumbe sumu ya nyuki ni dawa na ina faida nyingi kiasi hicho? Ubarikiwe sana mdogo wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.