Recent content by Naikuru

  1. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Ushauri wangu. Hapo hakuna ndoa. Umefikia kiwango cha kumshikia kisu umchome!!! Ipo siku kama hata kuchoma basi wewe utamchoma kisu. Cha kufanya mpe talaka. Bora uvunje uanze upya kuliko kuendelea naye. Masingle mothers wapo ambao waliteleza... mtafute mmoja wao akuongezee heshima kwenye mtaa...
  2. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinipeleka nyumbani kwao kama hausigel sasa anaoa mke mwingine

    Kwani hakuna hana mawasiliano na nyumbani wasimjuze kuwa mchumba kaleta mahari?
  3. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Story imeisha kizembe mazee
  4. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Mpaka hapa portion ya 16 na 17 nitakuwa nairejea mara kwa mara. Ìna madini mengi sana
  5. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mkuu kwenye maisha kuna kukataliwa na kila mtu na kukubalika na kila mtu na kunyimwa na kila mtu na kupewa pia nankila mtu. Chagua fungu lako hapo
  6. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tatizo ukimuona tu lazima ugune kuwa siyo size yako... wa size yako ni hao unaokutana nao kwenye mishe zako ambao hukutani nao siyo wako kaka. Ndege wanaofanana huruka pamoja
  7. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

    Natural what? Natural where? Which naturality are speaking?
  8. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

    Vijana hakikisha unaoa binti wa umri wako asikuzidi miaka mitano
  9. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Huyo dada alokosea sana kuoleaa na wewe... umemkuta mtu ana maisha yake na ndoto zake... ulitakiwa.. ukubali njia zake na siyo kuja kumbadilisha.. umekosea sana. Huyo mwanamke atampata anayeendana nae na maisha yatapendeza sana.... wewe ulitakiwa kwenda kuoa binti aliyefeli kidato cha nne...
  10. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Huyu bwana ni mhuni kweli kweli. Unajebga mahusiano then ukiona anakolea unamuacha... kama ni kweli wewe utakuws kuni huko jehanam mkuu.
  11. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mshikaji wangu aniduwaza!

    Hapo Hakuna heshima tena... Unashindwa nini kumwambia kuwa HAPANA na HAIWEZEKANI HATA KIDOGO
  12. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Epsode inayofuata.. Asmah atarudi kazini na kizota atakabidhiwa uber.
  13. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Arosto haipo kwenye madawa ya kulevya pekee hata story ya uwongo na kweli nayo ina arosto
  14. Naikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHUHUDA WANGU: Nilivyotembea na wake za watu vol 1

    Ahaaaa kumbeeeeee. Imefamika. Asante sana
  15. Naikuru

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyo Alibaba China ni app gani naweza kuitumia kununua vitu Dubai

    Unaa maana gani hapo kusema haina maajabu?
Back
Top Bottom