Mkuu, nilikua out of vigezo mwaka huu kwasababu bodi ya mkopo walitoa mwongozo kwa waombaji kuwa,wenye sifa ya kuomba mkopo ni waliomaliza kuanzia mwaka 2019 hadi 2023,,hivyo mi niliyemalza 2018 sikua na sifa hiyo.
Na hata nilipojaribu kuomba hvo hvo control number niliyopewa nilipie maombi...
Daaah kama mimi tu, nmemaliza kidato cha 6 mwaka 2018,tangu muda sijawahi kunusa harufu ya mkopo wa bodi hivo nmekosa fursa ya kusoma bachelor[emoji24][emoji24][emoji24],na mwaka huu nilikua out of vigezo vya uombaji wa mkopo japo chuo nmechaguliwa tena ila uhakika wa kwenda kusoma ni 1%
Wakuu, nmechaguliwa kozi ya Bachelor Degree in Community Development for water supply and sanitation katika chuo tajwa hapo juu.
Hivyo naomba kama kuna mtu amewahi kuisoma kozi hiyo anisaidie hata msaada wa mawazo ni jinsi gani ntaweza kuisoma vizuri bila shida, na pia mzangira ya chuo kiujumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.