Mbali na Paytrade! Je kampuni kama Imperial Solution Ltd (ISL) ni kampuni tapeli au la? Maana Japan sasa kuna makampuni mengi hewa...na watu wanalizwa kila leo sehemu mbali mbali ikiwemo Tanzania. Nataka kuagiza gari kutoka kwenye hiyo Kampuni kama kuna mtu anauzoefu nayo naomba anijuze! Sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.