Kwani Sheria za nchi zinasemaje?..Mke rasmi wa Ndugai ni mke mwenye cheti cha Ndoa..Tofauti na hapo ni kusigina Sheria..Hawa wengine ni michepuko au mahawara ambao hawajulikani serikalini...
Kwenye swala la Mheshimiwa:
Tujiulize yupi ni mke sahihi wa Ndugai..ni Stella au Fatma...Yupi mwenye...
Watu mnakuza mambo..Umeshasikia kwamba Ndugai...alikuwa mgalatia(Mkristo) mwenye mke mmoja wa ndoa takatifu ya Kanisa Anglikana..na hakuwahi kuachana na mke wake wa ndoa..Kwa Wagalatia mke ni mmoja mpaka kifo kiwatenganishe..Hao wengine wanaotajwa Kama wapo...ni michepuko ambayo haijulikani...
Kwa dunia ya Sasa hivi hizi changamoto haziangalii kabila...Hakuna binadamu asiyependa fedha na mali...Haya mengine umeyasikia ni kwasababu ya umaarufu wa hao watu...Lakini hii mizozo ipo Kila Kona ya Tanzania
Acheni mambo ya ukabila.Watanzania tumeshaondoka huko..Mtanzania unaruhusiwa kuishi mahali popote Tanzania bila kuvunja sheria, kanuni na taratibu za nchi yetu..Na wote lazima tujifunze kuvumiliana kwa misingi ya tofauti zetu kikabila, kidini, kirangi na kikanda..Acheni upuuzi wa kuzodoana...
Lini umefanya huo utafiti kujua kwamba kila mwanachama anamsimamo sawa na wa mwenyekiti na kundi lake..Kumbuka kwenye kusanyiko lolote; kamwe watu wote hawawezi kuwa na mitazamo inayofanana
Walisema akae pembeni..ameishiwa sera...awapishe...amewapisha kwa amani bado leo mnamwandama(hakika binadamu hawana jema);pambaneni na hali zenu...kila zama na kitabu chake...Kama maji yamezidi unga mfuateni; muombe msamaha arudi awasidie kama mmeshindwa mapema hivi..Kinyume na hapo mwacheni...
Sasa mlinvyoumia roho mlipomuona ameonana na Mheshiwa Rais nini? Si muendelee na maisha yenu na yeye aendelee na maisha yake...Kama ni duka amewachia limejaa bidhaa mpaka nje...pambaneni sasa uongozi mpya na wafuasi wenu kuhakikisha kwamba duka linaendelee kujaa bidhaa kama lilivyoachwa na...
Msaliti tena!!!!!!!..yeye amesema ni mwanachama wa chadema kama walivyo wanachama wengine..Ana haki ya kufanya mambo yake binafsi bila uhuru wake kuingiliwa na mtu mwingine yeyote..
Kwanini aliongee sasa; mbona wakati wa Magu hakutoka hadharani kukemea utekaji wa akina Saanane na wengine kwanini iwe sasa kama sio "siasa"..Alikuwa anataka kupata "political mileage" akubugi step..au timing haikuwa sahihi...imekula kwake..ajipange upya...Na anabahati mama ni mtu mvumilivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.