Hitimisho hili limenifunza kwamba watu wanabadilika muda wowote Dada yangu. Huyu kijana huwezi kumdhania. Sikutegema kwamba tungefikia mwisho wa namna hii.
Alirudi na kusema tuendelee kuwa wapenzi. Nilipohitaji majibu kuhusu mustakabali na hatma ya haya yote hakuweza kutoa majibu. Nikaona nia yake ni kunipotezea muda na kunichezea. Hivyo, nikasitisha mawasiliano nae.
Ahsante sana. Kabla ya yote alibainisha kiwango alichokuwa nacho. Hata gharama za mwisho zililenga hapohapo baada ya kuieleza familia yangu. Lakini tayari alishafanya maamuzi. Nilijitahidi kumuomba aje na kiwango chochote alichonacho lakini ikawa ngumu tena kwake. Mambo ya Mungu ni mengi ni njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.