Recent content by NAELEKEA

  1. N

    Rais Magufuli nakuomba ufanye mapinduzi makubwa kwenye mfumo wa elimu

    Kwangu mimi elimu kwa ilipo sasa,naomba Serikali wapanue VETA zetu angalau ziwe na nguvu kila wilaya,wanaomaliza std 7,form 4,form 6, ambao hawajaweza kuendelea na masomo kwa vigezo vya NECTA ,iwe ni utaratibu rasmi waende kujifunza fani na ujuzi mbalimbali VETA,,graduates wenye digrii na...
  2. N

    Elimu yetu

    Asante ndugu,,mi niende moja kwa moja kwenye ,,"Tuanze kubadilika lini,?;" ,"Nadhani tuanze kubadilika sasa," tatizo la elimu yetu sio philosophy, tunatumia falsafa ya COMPETENCE BASED ambayo tumeinyumbua kutoka kwenye falsafa bora zaidi duniani ya PRAGMATISM EDUCATION BASED PHILOSOPHY, ambayo...
  3. N

    Ripoti ya UN: Jiji la Dar es Salaam linashika namba 7 katika majiji masikini duniani

    Duh...ina maana hata Arusha haipo!? na wanakujaga kutalii kila siku Ngorongoro ,Serengeti na mt.kilimanjaro..their not serios ,,wapite zao hiviii sisi tuna yatambua majiji yetu wenyewe.
  4. N

    Ripoti ya UN: Jiji la Dar es Salaam linashika namba 7 katika majiji masikini duniani

    Duh...ina maana hata Arusha haipo!? na wanakujaga kutalii kila siku Ngorongoro ,Serengeti na mt.kilimanjaro..their not serios ,,wapite zao hiviii sisi tuna yatambua majiji yetu wenyewe.
  5. N

    CAG Mussa Assad: Tanzania hatuhitaji viongozi wenye nguvu, bali taasisi imara

    Tatizo nafkiri hatuna uhakika tunataka nini,,, taasisi imara au mtu imara wa kusimamia hizo taasisi.Nadhani vyote ni muhimu kwetu kwa sasa ni vema tuwe na platform imara za kushauri dira gani ya kufata kwa manufaa ya muda husika.
  6. N

    Usajili wa UDOM shida ni mtandao au nini?

    Endelea kujaribu tu ,,system kwa sasa inasumbua wanaofanya application ni wengi na kwa chuo kama UDOM ni wengi zaidi
  7. N

    Kitabu ‘The confessions of an Economic Hitman’ na Daraja la Selander

    Mh..Mungu afanye njia ,,ya dunia ni mengi
Back
Top Bottom