Recent content by NaCl

  1. N

    JamiiForums Tanzania Walimu wa manesi

    Hbari wakuu Jaman napenda kuuliza kwa anayejua hivi walimu wanaowafundisha manesi wa certificate na diploma wanasoma kozi gan? Natanguliza shukraan
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kigonsera sec school

    nashukuru kwa msaada wako mkuu!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kigonsera sec school

    Nashukuru kwa msaada wenu lakini mbona bado mnanichanganya kuna anayesema nikitoka dar napanda basi la mbinga halafu nashuka kigonsera stand halafu mwingine anasema nipande basi la songea au kuna njia tofauti?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kigonsera sec school

    Nashukuru sana kwa msaada wako!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Joining instructions form five lini?

    namba zangu hizi hapa 0759022231 na 0657422206
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kigonsera sec school

    Jamani nimepangiwa cbg kigonsera huko Ruvuma mi niko Dodoma naombeni msaada wenu kwa wanaifahamu hiyo shule kitaaluma,mazingira na anielekeze nitafika vp
  7. N

    JamiiForums Tanzania Joining instructions form five lini?

    Namie pia kigonsera sec sechool
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kusoma au wanaoifahamu "minaki high school''

    sasa hizo joining instruction zinapatikana wapi na muda huo ndo unaenda?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya geography

    nashukuru kwa kunifahamisha, kwani kuna kitabu kimoja ambacho kinakuwa na physical and practical au vinakuwa vitabu viwili tofauti? Na hao zisti na msabila siyo wabongo?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya geography

    Form five
  11. N

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya geography

    Jamani naombeni kuuliza vitabu vizuri vya geography vya advance
  12. N

    JamiiForums Tanzania Liwale secondary school

    Jamani kwa wanaoijua hii shule wanafundi comb gan naomba anijuzi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Majina ya wavulana waliochaguliwa kidato cha tano

    Jamani nisaidieni kuchek watu hawa RICHARD SIMON, PATRICK LUGANO, PETER PETER na MALENDA NYANGUSI
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi yamekuwa form v selection hapaa!!!!

    Jamani naombeni mnisaidie kuangalia majina haya hapa RICHARD SIMON, PETER PETER, MALENDA NYANGUSI na PATRICK LUGANO
  15. N

    JamiiForums Tanzania "Inaniuma..."

    Duuuh! Hii ni zaidi ya inauma!
Back
Top Bottom