Recent content by Nachinguru

  1. Nachinguru

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

    Sheria hutungwa si kwa mlenga mtu aliekwisha tenda kosa bali kwa tatakaye tenda baada ya kusainiwa sheria hiyo.
  2. Nachinguru

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kikatiba, CAG ana hadhi ya Jaji Mkuu?. Je, wajua ripoti ya CAG ni Zaidi ya Bill?. Je, wajua kwenye ripoti ya GAG, CAG ni zaidi ya Rais ?

    Darasa safi sana, wasiwasi wangu ni kuwa azimio la kutofanya kazi CAG linaweza kuwa sio la Bunge peke yake! Lina 'external hands'. Katika mazingira hayo tunafanyaje!!..?? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Nachinguru

    JamiiForums Tanzania MEMBE ALONGA: Ashangazwa na namna alivyoitwa na Bashiru, amuita Musiba mwongo, mzushi na mfitini

    Kafundisha Namna ya ku'handle matters' scientifically!
  4. Nachinguru

    JamiiForums Tanzania Katika katiba pendezwa spika na naibu wake wasitokane na wabunge wa kuteuliwa

    Ktk katiba pendezwa spika na naibu wake wasitokane na wabunge wa kuteuliwa. Napendekeza watokane na Wabunge wa Majimbo au Wananchi waombe. Hili litaondowa dhana ya kulipa fadhila kama viongozi hawa watatokana na Wabunge teule. Changia tafadhali!!
  5. Nachinguru

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Naibu Spika Dr. Tulia Ackson na Uhuru wa Muhimili wa Bunge

    Nini maoni yako ktk hili!!!!
  6. Nachinguru

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Naibu Spika Dr. Tulia Ackson na Uhuru wa Muhimili wa Bunge

    Bunge kama mhimili katika nchi, mimi naona sio busara SPIKA na NAIBU SPIKA watokane na wabunge wa KUTEULIWA. Badala yake Napendekeza iwe kikatiba watokane na wabunge wa majimbo tu, sio vinginevyo. Au mgombea wa USPIKA AU NAIBU SPIKA akitokea kwa wananchi.
  7. Nachinguru

    JamiiForums Tanzania Ukusanyaji mapato mradi wa Mwendokasi: UDART yamaliza mkataba na MaxMalipo, kusaini mkataba mpya na TTCL..

    Naungana na wewe juu ya hii hoja. Tusubiri madudu ya ttcl ktk hili.
  8. Nachinguru

    JamiiForums Tanzania Hii ni Tenda ya ajabu kabisa: Tenda kama hizi ni kifo cha sekta binafsi,nani aliziruhusu?

    Private contractors iko haja ya ku 'raise' concern on this type trend. Ni kupeleka kilo chao CRB ili ku 'declare' kufuta hizi Private companies.
  9. Nachinguru

    JamiiForums Tanzania Hii ni Tenda ya ajabu kabisa: Tenda kama hizi ni kifo cha sekta binafsi,nani aliziruhusu?

    Sector binafsi ya ujenzi inauliwa!! Hatuna haja ya kuto kuamini ktk hili. Twafaaaa!!!
  10. Nachinguru

    JamiiForums Tanzania Nikajiuliza, Waziri alifuata nini Ikulu?

    Duuh ukweli mtupu!!!!
  11. Nachinguru

    JamiiForums Tanzania Faida za lozi Almond

  12. Nachinguru

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Watanzania wana furaha kama hivi?

    Wapo, na wapo wazungu wenye huzuni kuliko waafrika!!
Back
Top Bottom