Recent content by Nacherewa

  1. N

    Siyo uongo mke anayeshinda nyumbani ana ladha ya pekee kwa mumewe

    Bilionea hana muda wa kushida JF, ratiba zake ziko full.
  2. N

    Siyo uongo mke anayeshinda nyumbani ana ladha ya pekee kwa mumewe

    Utamuonea wapi, cycle yake ni tofauti na ya kwako.
  3. N

    Siyo uongo mke anayeshinda nyumbani ana ladha ya pekee kwa mumewe

    Zamani zipi, ninavyojua wamama wa nyumbani hasa wa vijijini walikuwa wanashinda shamba na waume zao. Walivumilia tu.
  4. N

    Siyo uongo mke anayeshinda nyumbani ana ladha ya pekee kwa mumewe

    Kuna ndugu yangu alifiwa na mumewe yapata miaka 5 sasa, aliugua kansa muaka 5. Isingekuwa mwanamke anajishughulisha sijui ile familia ingekuwaje. Kaacha watoto 4, wote wakiwa bado wadogo.
  5. N

    Siyo uongo mke anayeshinda nyumbani ana ladha ya pekee kwa mumewe

    Kila mtu ana uhuru wa kuchagua anayemtaka. Kama wewe unaona mama wa nyumbani full time anakufaa haina shida, wanaopenda wachakarikaji nao powa tu. Ni uamuzi wako tu. Ila dunia inavyokwenda mambo yanabadilika. Wewe somesha mtoto wako wa kike halafu umuambie asitafute kazi akaolewe ili mwanaume...
  6. N

    Afariki akiwa kwenye mfungo wa siku 30, aliahidi kufufuka Desemba 8

    Hata kama lingekuwepo unatakiwa utumie akili. Hivi itakuwaje nikikaa siku 30 bila kula? Mungu aliyeumba vyakula hakuwa mjinga. Wewe utoke tu huko ufunge siku sijui 20, huko ni kujiua kwa kukusudia
  7. N

    Afariki akiwa kwenye mfungo wa siku 30, aliahidi kufufuka Desemba 8

    Nilihudhuria harusi moja , kabla ya sherehe tulikuwa na pilika za maandalizi huku tumechanganyika wanaume na wanawake. Mara ghafla likawekwa pazia eti kutengenisha wanaume na wanawake huku bibi harusi na bwana harusi wamekaa pamoja. Baada ya harusi watu wakachanganyika tena wanapiga stori. Wale...
  8. N

    Kwanini unamuingiza mtu kwenye kundi (group) bila ridhaa yake?

    Jana tu kuna mtu kaniunga kwenye group sijui la afya bila raarifa. Nika left.
  9. N

    Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

    Kuna mambo hayako sawa. Je hiyo forgery ilikuja baada ya kuchukua mkopo au la? Mwanamke anajua kuhusu deni it means alishirikishwa wakati mume anachukua mkopo. Anasema hakushirikishwa kuhusu mnada, hapo hapo anasema benki wamefuata taratibu zote za mnada.
  10. N

    Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

    Hii 50/50 itakuwa ngumu. Ndio maana nawaambia wanawake wenzangu hakikisha majina yako yapo kwenye mali otherwise hakuna cha 50/50 mkiachana
Back
Top Bottom