Recent content by N12345C

  1. N

    Awe vipi?

    masikini jeuri? mi nilikua namahanisha kutokumfuatilia ni kutokudadisi kwa sana each and every step of your GF.Sasa kama wewe midume inakuja kumchukua mbele yako we unanyamaza tu , mi simo.mkuu ucchukue kama ilivyo.
  2. N

    Awe vipi?

    Wanaume twatakiwa kuwapenda wanawake(kumpenda tu) ila sio kumfuatilia, wanawake wanatakiwa wawa 'heshimu tu' wanaume zao. hiyo principle alinigea babu................................................................itumieni
  3. N

    Awe vipi?

    nimewapateni dada Rose(unajina la dada yangu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa) na Sumbalanyiro, BIG UP. lakini mi nilikua nataka zile deep and love oriented. Rose (1980) ndo mwaka wako wa kuzaliwaaaaaaa?
  4. N

    i hope.......1day

    pole sana dadaaa! mapenzi ni complex issue, cha msingi we jiweke bize na shughuli zako lakini si kwa maana ya kumchunia! muda utatibu ugonjwa wako, Kwani kuna kitu chochote ambacho unategemea kwake zaidi ya kumpenda? kama ndiyo basi we tulia na unapojiskia kuongea nae kwenye simu jitahidi...
  5. N

    Darling, I'm Sorry I can't go on

    dah, mkuu hapo juu naomaba kama una contact unitumie ili tuwasiliane,hiyo baru ayako hapo juu nilitaka kutoa chozi maaana almost ni point ambayo hata mimi naelekea kuifikia, sasa chozi linanitoka kwakua huyo GF wangu bdo nampenda saaana, ma email is ( fredyj31@yahoo.com), nitumie hata namba...
  6. N

    Awe vipi?

    :confused2:Ivi akina dada, ni vipi mnataka mvulana awe? and for men ni vp mnataka msichana awe? sina uzoefu sana, ila nachojua kuna zile tabia ambazo ni common wasichana wanapenda vilevile kwa wavulana.Wana JF naileta kwenu maana mi kichwa kinauma. HI TO ALL
  7. N

    kwanini wasichana wako hivi?

    Nina gf wangu, tangu anaingia advance level,anafanya mtihani mpaka mda wa kusubiri matokeo alikua ni mtu mwenye nyodo sana, (offcourse mi nafanya kazi lakini si yenye kipato kikubwa saaaaaaaaaaaaaaaaaana) ,sasa baada ya matokeo akawa ameferi,yaani amepata matokeo ambayo ayawezi...
Back
Top Bottom