Recent content by mzuri homy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Intervew NMB

    nawashukuruni wote jamani kwa ushirikiano mlionipa. mbarikiwe..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Intervew NMB

    Nimetumiwa meseg ya kuitwa kwa aptitude test na nmb bank. jamani tujulishane hayo maswali yanakuwa vipi coz ni mara yangu ya kwanza kwa kweli
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya utumishi wa mahakama

    plz naomba kama umeona majina ya afisa tawala plz naomba uniandikie hayo majina bcoz nmechelewa kupata gazeti
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa majina

    omary mbaraka mnenga
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu interview kwa upande wa Human Resource

    Naombeni jamani mnidokeze maswali ambayo anawezwa akauliza human resource kwa upande wa intervew ya kuandika. kwani ni mara yangu ya kwanza kuitwa kwa intervew na sina idea.. asanteni.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Password ya nini?

    Jamani naomba kuuliza hivi kwa nini mume au mke, girlfriend or boyfriend wanawekeana password kwenye simu? Kuna nini hapo kinachofichwa? Au michepuko ndo mingi? Je ni halali kwa mume au mke kuwekeana password?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usahili Secretariat

    nashukuru.. maana nimeomba vya kutosha mpaka nakaribia kuchoka alaf sasa sioni jina. nilifikiri ni lile la may 9 , na may 14 na 15
  8. M

    JamiiForums Tanzania Usahili Secretariat

    jamani naomba kuuliza ! hilo tangazo la kuitwa kwa usahili secretarit ya ajira nafac za kazi zilitangazwa lini??
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa unasubili kupata kupata kazi angalia na hii

    alafu mkishatupeleka huko south kinachofata ni nini!! kweli majanga ni mengi humu!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania TBS kulikoni?

    ahsante acha niendelee kuvuta pumzi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania TBS kulikoni?

    majanga!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania TBS kulikoni?

    asante
  13. M

    JamiiForums Tanzania TBS kulikoni?

    Jamani mwenye kujua kuhusu update za tbs anijuze. Kwa sababu nimesubiri mpaka basi. Msaada tafadhali.
Back
Top Bottom