Wakuu wangu,
Tutumie juhudi zetu kuhakikisha kuwa mambo ya dini hayatugawi. Imani zetu zibaki kwenye mioyo na matendo yetu. Tusijiingize kwenye unafiki na kuleta mfarakano. Wajibu wa serikali nikukusanya kodi na kutoa huduma za jamii kwa watu wake wote. Serikali inao pia wajibu wakutoa haki...
Mie kwa mtazamo wangu Kanisa katoliki wana agenda zaidi ya kuelimisha waumini wake. Kwamujibu wakitabu walichokiandika na kukisambaza kwa waumini kimeweka wazi kuwa wanataka nchi ikamatwe na watu watakaowawezesha mambo yao yafanikiwe na kuitakatifusha nchi kwa mwafundisho ya injili. Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.