Recent content by mzunda

  1. M

    Msaada: Nikichomeka flash, mafaili yote yanakuwa shortcuts

    yani hata ku copy hiyo na kuweka kwenye command prompt inamshinda? cha kuedit ni driver latter tu basi baada ya kufanya hivyo mafaili yataonekana na atafuta folder lenye shortcut
  2. M

    Msaada: Nikichomeka flash, mafaili yote yanakuwa shortcuts

    fungua command prompt (bonyeza start kisha type cmd then hit enter) ukisha fungua andika command ifuatayo attrib -h -r -s /s /d <Your USB drive letter>:\*.* kisha hit enter (angalizo zingatia kuweka space ukishindwa copy kama ilivyo kisha badilisha usb latter mfano (attrib -h -r -s...
Back
Top Bottom