Brother Mimindiokile umenikumbusha sana Kijiji cha MIRAMBO hasa bweni namba 3. Church man, Karadoga, Shukuru, Clemence Mwashambwa na wengi uliowataja nilikuwa nakaa nao katika bweni hilo. Huenda nikawa nafit ktk utambulisho wako wa Mtoto wa Mzinga Jeshini...............Kuna muungwana amemtaja...
Duh, ama kweli nimekumbuka mbali sana. Inaonekana brother mimindiokile ulikuwa unakaa KIJIJI cha MIRAMBO BWENI No 3, kwa sababu Church man, Kijana wa Mzinga Jeshini, Shukuru, Karadoga wote hawa walikuwa bweni hilo. Nami naomba niwakumbushe wana Mzumbe vita ya kugombea wachezaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.