2015 nadhani jafari au basili lema wanafaa kwani tunajua tukiwa na madiwani makini kama abuu shayo,ray mboya,mama kowero,kagoma, jomba koyi,mwita wa msaranga,minja,sherifu,hawa na yule wa ng"ambo n.k maendeleo yatakuja tu.
Kweli kabisa hongereni tunaona kazi yenu madiwani na mbunge unyanyasaji mjini kwa machinga umepungua hatukamatwi ovyo tena ila swaka la uanzishaji advanced level naliunga mkono pale kiborloni sec.maana ile shule ina walimu makini sana wa kusimamia nidhamu na taaluma.mbunge shuhulikia hili...
natumia fursa hii kuwapongeza madiwani wa halmashauri ya manispaa ya moshi wakiongozwa na meya jafari michael kwa kusimamia vizuri pesa za serikali.mfano karibu barabara nyingi za lami mjini zimepigwa lami hata za maeneo yaliyosahaulika kwa miaka mingi kama uswahilini,njoro.majengo. Lami...
hivi karibuni mwigulu nchemba naibu katibu mkuu ccm bara alifanya mkutano hapa iringa miongoni mwa mambo aliyoyaongelea ni,
1.uuwaji wa viwanda uliofanywa na serikali
2.misamaha holela ya kodi inayofanywa na serikali
3.kuanzisha operation ya komboa jimbo la iringa mjini
4.kuomba laiti angekuwa...
Leo ulifanyika mkutano mkuu wa chadema maeneo ya kata ya kitanzini manispaa ya iringa. Ulifurika kweli nampongeza msigwa kwa kuanza kuingia na kufanya mikutano ya ndani ya kata za manispaa na si mwembetogwa kila siku.mkutano ulihutubiwa na lema msigwa na mhamasishaji m4c kanda.mkutano ulifana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.