Recent content by Mzibua Vyoo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwenye mechi nyingi, asilimia kubwa nyingi zinatiki, chache zinachana. Hii inatupa moyo wakamaria "ipo siku" Hali ya nyingi kutiki, chache kuchana, ni ya wakamaria wote beginners na walioanza kitambo. Ndiyo ujue kwamba betting ni noma haina mwenyewe, wote sawa. Tusichoke wazee, mapambano...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Google inakuja na update kali upande wa message

    Tunaotumia Samsung tuliozeoa app ya messages ya Samsung. Hii inatushawishi tujaribu Google Messages
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duh!, inakatisha tamaa. Maguru kama hao tunaowaona ni mfano wa kuigwa, wanalost. Sisi tunaolialia itakuwaje?, si tutalost mwanzo mwisho?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa akili hizi za Mhindi. Kajipanga https://m.youtube.com/watch?v=oHWpH6wHx2s&t=11s
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ghafla uzi umekuwa kimya. Watu wote wamekimbilia kwenye uzi wa "jamaa aliyeshihda 27m kwenye kampuni ya uchochoroni, halafu anazungushwa kulipwa"
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Fenerbahce vs. AS Roma, hii game siyo ya kona, ni ya on target shots. Ishatuchania. Option ya corners kijuu kwa juu inaonekana simple. Ni option inayotaka utumie uchambuzi mwingi na akili nyingi. Mechi unaweza kuiona ya corner, kumbe ya on target. Na unaweza kuiona ya on target, kumbe ya total...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sijui ni mapepo kumalamamaake?!. Zamani nilikuwa naboom kwasababu sikuwa na hii tabia. Tabia yenyewe ni kuangalia saa mara kwa mara kwenye notification bar ya simu. Nikikuta na dakika 13 au 31, lazima mkeka uchane. Nimejizuia mara nyingi nisiangalie saa. Lakini kutokana na ratiba za maisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Free tips daily 1.50 odds and 2 odds

    Mleta mada kakimbia uzi. Kaaminisha watu wastake high, watu wakamwamini wakaliwa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Ukisikia mkamaria anayejua anachofanya, ndiyo huyu. Kampiga Mhindi parefu sana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Niliwin odds 10 siku 2 mfululizo. Nikajiona mimi ndiyo mimi, najua kubet kuliko watu wote duniani. Nikawa najiona nimefikia level ya uprofessional wa kuchambua mechi. Kwa odds 10 hizohizo, siku zilizofuata zote nikawa nachezea vichapo. Hata mzuka na umakini wa kuchambua mechi vimekata. Hapa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    PSG ya msimu huu hakuna kitu. Wanajifanya wakina Messi wanacheza soka la Kiargentina la kutegea. Wakikutana na timu zinazocheza mpira wa kasi, watashambuliwa vibaya sana.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo ndiyo leo. Hii kazi ni noma. Kama una roho nyepesi unaweza pagawa. Ndiyo maana Deo Corleone (mmoja wa waanzilishi wa huu uzi, page ya kwanza ya huu uzi kuna comment yake) amenyoosha mikono. Anakwambia "hata utumie mbinu zipi, hata uumize kichwa vipi, bado betting ni ngumu". Japo vichapo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakamaria wa sports betting, vita yetu ni ngumu. -Tunapambana na bookmakers kubana options -Tunapambana na bookmakers kuweka odds kiduchu kwenye option unayoona itakutoa -Tunapambana na advanced data bots -Tunapambana na mechi kwenda ndivyo sivyo (red card, majeruhi n.k) -Tunapambana na match...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Twende kazi kiongozi. Weka code turuke nazo. Hata zikichana poa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Watu wanaona odds ndogo ndiyo zenye chance kubwa ya kuwin. Kuna mkuu humu kaleta odds 5 mechi 16. Kila mechi ni odds 1.01 haizidi 1.19. Cha ajabu mechi ya 2 tu ya odds 1.04 imechana. Tusikate tamaa wazee, japo vipigo vinakatisha tamaa.
Back
Top Bottom