Jamani kumbe CHADEMA wana maadui wengi ,CUF wanakeraa sana ,toka waunde serikali (waolewe) na CCM wana nyodo sana.Sijui mimba inawasumbua?? Khaa!!!!!!!!:
I like this
Jamani hii nchi haina dini!!!! Kwanini Watanzania walipe kodi kusupport mahakama ya kadhi na huku hii nchi sio ya kidini? Au hii kodi itakuwa inakusanywa kutoka kwa waislamu pekee au ndo mwanzo wa mpasuko wa nchi? Acheni ushabiki! Kama mnataka mahakama ya kidini then mko kwenye wrong country...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.