Recent content by MzeeWaTeknolojia

  1. MzeeWaTeknolojia

    Rais Samia Suluhu tumia Teknolojia kuiokoa Tanzania

    Hao Walmart ni supermarket kubwa hatari, ina matawi zaidi ya 4,700 kwahiyo wafanyakazi wengi watakua wafanya shuguli za kuendesha matawi hayo na kuhakikisha bidhaa zinawafikia wateja. Kwa upande wa Facebook, hakika wafanyakazi elfu 58 ni wengi, ila kumbuka Facebook ndio inamiliki Instagram na...
  2. MzeeWaTeknolojia

    Rais Samia Suluhu tumia Teknolojia kuiokoa Tanzania

    Chochote tunachoweza kufanya kupunguza gharama za teknolojia, ikiwemo internet uliyotaja lakini pia vitu kama simu na computer, kitatusaidia kupiga hatua. Tanzania tumejitahidi sana kwenye maswala ya internet/mawasiliano (mfano angalia mkonga wa taifa) na watu wengi wako active sana kwenye...
  3. MzeeWaTeknolojia

    Rais Samia Suluhu tumia Teknolojia kuiokoa Tanzania

    Nashukuru sana! 🙏 Endapo wazo hili litamfikia Mhe Rais, naomba aangalie mfano wa bilionea Mo Ibrahim (alieanzisha kampuni ya Celtel ambayo leo tunaijua kama Airtel). Yeye kupitia foundation yake alianzisha Ibrahim Prize inayotoa $5mln USD (sawa na TSH bilioni 11.5) kwa viongozi bora wa Afrika...
  4. MzeeWaTeknolojia

    Rais Samia Suluhu tumia Teknolojia kuiokoa Tanzania

    Kwako Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Hoja yangu kwa sentensi moja: napendekeza serikali iwekeze kwenye matumizi ya teknolojia (haswa simu, mitandao ya mawasiliano, na apps) ili kuboresha utumishi wa umma na utawala bora. Hoja yangu kwa kirefu kidogo: napendekeza uanzishe Shindano La Ubunifu...
Back
Top Bottom