Recent content by Mzeewamiba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wapalestina ni wavamizi kwa mujibu wa Quran

    Kwani huo waraka ndio Biblia? Yeye katoa maandiko ndani ya quaran, na wewe lete maandiko ndani ya Biblia yake sio mambo ya waraka wa Papa ambao ni kama gazeti tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Palestina inamjibu Donald Trump baada ya hotuba yake

    We jamaa genius sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Serikali Kunyakua Ardhi Kwa Nguvu kutoka Kwa Wazungu Bila Fidia

    ANC wameona wamepoteza ushawishi sasa wanaenda kuangamiza uchumi wa South Africa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

    Kwa hiyo huu ni wakati wa Musa siyo!??
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

    Kwa hiyo huu ni wakati wa Musa siyo!??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Trump wafuta misaada yote ya silaha kwa Ukraine na uchunguzi unafuata

    Bora vita viishe wanajeshi wa Ukraine wapone.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

    Kwa tume hii ya uchaguzi, sahau baba
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yathibitisha 'ushindi' dhidi ya Israel baada ya usitishwaji mapigano

    Kwani kobazi huwa wana akili unadhani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

    Kweli hana akili
  10. M

    JamiiForums Tanzania Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

    Wanataka kuwafurahisha waarabu, watakuja kujuta na huo uhamiaji holela walioruhusu. Time Will Tell
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona ufanisi wa silaha mpya ya Russia Oreshnik, naomba tujadiliane kuhusu US Military Carriers

    Hapo ukiambiwa uchague pa kwenda kuishi kati ya Urusi na Marekani utakimbilia Marekani.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

    M Hao ni wapumbavu, Waliyofanya Hamas Oktoba 7 sio unyama?
Back
Top Bottom