Naanza kwa kukir na kuwaomba ndugu na jamaa zangu waelewe hivi dr slaa ni sawa na Jack Bauer wa series moja inaitwa 24.
Utamchukia leo lakin utamuelewa hapo baadae..
Inauma lakin ni dawa slaa haijalishi kashirikiana na nani kusema ukweli huo lakin wekeni kichwan kuwa slaa kasema ukweli mtupu ...
Ni tarehe 23 mwez huu 2015
Uzinduz wa kampen pale jangwani
Kijana nasibu pamoja na wasani kibao watakuwepo
Huku upande wa pili
Prof j,wagos wa kaya,sugu,nature ,msaga sumu na bongo movie wachache kama wolper na anti ezekiel watakua upande wa ukawa
Picha nawaletea hapa
========
UPDATE:
Zitto amekanusha majina ya watu waliotajwa awali (makada wa CCM)
Walio pichani ni Anna Magwhira, Zitto Kabwe na Shaaban Mambo. Wapo pia Venance Msebo (mwenye miwani) na Richard Sabini
Pole pole kwa taarifa tu na kwa wasiomjua
Ni moja ya majasus kutoka tiss
Watu hawa hutumia mbinu za kujichanganya aaminike then anaamua kukichafua
Polepole ameshaahidiwa ubalozi wa tanzania nchin sweden akifanikisha anachokifanya
Wakuu salamu,
Taarifa nyeti sana zinasema kuna taarifa kua machine za bvr ambazo kwa sasa zimemaliza muda wake wa kutumika hazitafungiwa makumbusho bali zitatumika kinyemela kuandikisha watu mamluki walio wengi ni kutoka makambi ya wapinzani, wafungwa na wahamiaji haramu na wengine kukodiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.