Recent content by mzeefundi

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    MREJESHO Nashukuru ombi langu limefanyiwa kazi. Jana, Jumatano, 03/08/2022 mafundi wa Tanesco walifika na kuniunganishia umeme. Asante sana TANESCO, asante sana Jamii Forums.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kujulishwa ni lini mtashughulikia ombi hili.
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimeomba kuunganishiwa umeme na taarifa zangu za malipo ni hizi: "Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO Ankara: 991033426974 Kiasi: 320960 TZS Risiti: 922113103894048 2022-04-23T13:18:52 Kupitia: FH594271650709132 Namba ya simu: 0754800789". Lakini hadi sasa ni kimya. Nilifika ofisini baada ya...
Back
Top Bottom