Nakumbuka Maisha ya chuo kipindi tupo sua aisee semester ya nne,tano,na Sita
Darasani naenda kutokana na ukali wa mwalimu nakumbuka mwalimu wa bness law Mr marwa na hrm Mr muhanga sikuwahi kukosa vipindi vyao. Nachosikitika ni pale nilipopata 2 test one bness law wakati tuliruhusiwa tuingie...
Habari wanajamvi? Naandika Uzi huu Nikiwa na dhamira ya Kumpata mwanamke ambaye atakua mke wangu.
Vigezo
-awe Tanzania
-mkristo
-umri kuanzia miaka 25
-awe mtu mwenye uhitaji kweli na mume siyo mtu wa masihara. Kwa maelezo zaidi njoo pm. Naomba kuwasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.