Recent content by mzee wa mkeka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    Wadau bado jamaa wanaendelea iba muda wa hewani kama kawaida. Siyo rahisi kuwahama ghafla lakini naandaa utaratibu mwingine nije niachane nao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    Hapo sikupiga simu; ukiangalia vyema hiyo namba siyo namba kamili nilipiga tu ili namba zingine zisogee chini zisijeonekana kwenye screenshot
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    simu yangu ni `analogue` hivyo haina data wala internet na binafsi sijawahi jiunga na huduma yeyote ile zaidi ya kupiga simu, kutuma sms na pia kuitumia kwenye mobile banking
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    Duh kweli kiswahili kigumu hata kwangu; ni ushahidi siyo ushuhuda. Inatakiwa iwe ushahidi ndiyo lugha fasaha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    Pole sana; mamlaka husika zinatakiwa chukua hatua
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    Huo utani wa shoka; ni muhimu sana mamlaka husika watulinde.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    Kuna mitandao mingine ninayotumia naona hawana huo mchezo wa `kupoteza` salio; sioni kama ni busara nikitaja hapa maana itakuwa kama promotion na inaweza haribu muktadha wote wa huu uzi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    H Haya; naona kumbe hata wewe uliyeandika huelewi ulichoandika. ngoja nisubirie
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    Hapana; sijajiunga na huduma yeyote ya ziada kwa mtandao wowote ninaotumia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    sijakuelewa unamaanisha nini?? kulipwa na nani? au nawe ndiyo umo humo?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    Habari wadau wa jf na wote mnaopita humu kupata habari; kama heading ilivyo hapo juu ninaushahidi ambao nitauambanisha hapa kudhihilisha kwamba kampuni ya vodacom tanzania inawaibia muda wa hewani wa wateja bila hata mteja kutumia simu kwa huduma yeyote ile. Kabla sijaelezea kwanza niweke wazi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah! huu mkeka wa mechi 23 naona mechi 20 bet won na mechi 3 bet lost; fc porto nadhani wachezaji walibet droo. tukutane weekend ijayo; nitapunguza mechi na nitaongeza odds. mkeka wa matokeo huo hapo chini. EPL Burnley vs Manchester United - over 0.5 goals result: 0 - 2...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Italy kila wekeend lazima timu kubwa moja ichane mkeka; principle rahisi ni kucheza timu chache kwa kila weekend; ila ukiweka 4, 5 mara nyingi moja inakula mkeka. ila hawa mafia sana; inawezekana huu mchezo bado unaendelea, hii siyo team ya kuifunga ac milan leo; unaweza hisi stickers wamebet
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    you are in wrong place at wrong time advertising to wrong individuals.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nadhani ni salama kama ukiweka both teams to score au over 1.5 goals. hii game ngumu sana
Back
Top Bottom