Asumpta Mshana.?!!!???!!!!! ... Hivi mtu anakataliwa na wapiga kura wake then ww unampa ukuu wa wilaya... Kazi ipo wengine walionekana ni mabogasi hata kule bungeni... Leo wanapewa jukumu la uDC.....!!!!
Dr. Salaaa nimekudharau sana yaani anakuja kuongea umbea na majungu....... Anajaribu kuwagombanisha maaskofu wa katholiki na waumini wao ili eti tumchukie Edward NL...... Ukweli kibabu kikono umeisha... Wenzio wanakimbia hicho kichaka kiitwacho CCM kwa vile kinaungua moto huku wewe ndo unaenda...
Taarifa za uhakika zinasema zoezi la uandikishaji wapiga kura hapa wilayani Rombo limesimama tangu Ijumaa iliyopita kwa kinachosemekana wino kuisha.
Hii inawwzekana Ni hujuma ya watawala na maCCM kwa vile jimbo hili halina Dalili za kurudi CCM..
Nawasilisha
Unajua Ma-CCM hamnazoo kwelikweli yaani mwaka huu ndiyo mnajidai mnawapenda wananchi wa Tanzania !!!??!? Shame on you mabazazi na magamba wote, huku vijijini hatutaki kabisa kuwasikia nyie leteni hizo pesa mlizotuibia katika EPA, Escrow, BoT,Richmond na scandal zingine nyingi na tutazitafuna...
Wauaji na maadui wa CCM siyo Chadema Bali ni watanzania wote walioathirika na wizi Wa Richmond, BoT, EPA na uharamia wa Escrow .....Kwa utumbo huu uliofanywa na wanamagamba nathibitisha na kujiapiza kuwa adui Wa CCM ni maskini wote Wa Tanzania wanaoathirika Kwa kukosa huduma za afya na dawa ktk...
Wewe Mjepo Kama huamini tafuta Mrombo yeyote apige simu huku Rombo watatawambie ukweli....tena halo ya CCM Ni hata huku hata huyo Kichwa cha Nazi mengine hajayasimulia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.