Recent content by Mzee Wa Kuchumila

  1. Mzee Wa Kuchumila

    Natafuta mwekezaji tufanye utafiti wa dhahabu kwenye shamba langu

    Sijawai kumiliki mgodi,jirani yangu anachimba hadi Sasa na uzarishaji unaendelea.viashiria vya kuwepo dhahabu vipo maana Kuna trenches mbili za wakoloni ndani ya shamba.
  2. Mzee Wa Kuchumila

    Kilimo cha maharage

    Tafuta Beans Force au Beans clean
  3. Mzee Wa Kuchumila

    Natafuta mwekezaji tufanye utafiti wa dhahabu kwenye shamba langu

    Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu. Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji kuanza kuanza utafiti. Aliye tayari aje inbox tuwasiliane. Location ni kanda ya ziwa mkoa wa Mara.
Back
Top Bottom