Wimbi hili la viongozi kuhama toka upinzani kwenda CCM sio jambo la kustaajabisha wala kuogopesha kwamba sasa upinzani nchii hii unakufa.Upinzani unatokana na mwananchi wa kawaida kuchoshwa na hali ya maisha na sera za mtawala,duniani kote bila mwananchi kuamua awe mpinzani hata kuwe na viongozi...
Hivi kwanini wapinzani kila baya la CCM kwao jema?, alipojiuzulu Lazaro Nyalandu walikesha kusherehekea na kusema kaonyesha ushujaa kwa kuondoka CCM, sababu alizotoa Nyalandu zinaonekana zina mashiko.
Sasa kwanini leo hii wapinzani hao hao wanaibuka na kupinga kuondoka kwa Maulidi Mtulia na...
Ndugu zangu,
Kwa sasa ni wakati wa muda muafaka kwa nchi kurudi mfumo wa chama kimoja, mfumo huu utaipa mafanikio makubwa nchi yetu kiuchumi kwani utamfanya Rais wetu afanye kazi bila bughudha na kuleta maendeleo ya kweli.Hili la chama kimoja silisemi mimi tu bali watanzania wote wameamua kuwa...
Kama CCM inataka kushinda kiti cha ubunge jimbo la Kinondoni hakuna budi chama kitumie nafasi hii kuweka mgombea kijana na mwenye ushwawishi katika jimbo hilo.
Hii inatokana na aina ya siasa za jimbo hilo ambalo bado nguvu ya upinzani ni kubwa na si ya kupuuuza na kwa ushauri wangu nafikiri mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.