Kwani we unataka nini? Kwa taarifa yako siku hizo 14 huwa zinaanza kuhesabika siku mhusika anapata barua. Kimsingi ni procedure tu inafuatwa hapa asije akakimbilia mahakamani watu wakimshughulikia ipaswavyo akadai eti hakupewa haki ya kusikilizwa. CDM ipo makini bwana. Viva CHADEMA!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.