Recent content by Mzee Wa Kaliua

  1. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Link gani nje ya fawa news naweza kuzipata chanel za azam sport ?free website ama app

    Naomba kwa mwenye kujua free website nazoweza kupata chanel za azam sport ama app
  2. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata proxy tv for windows?

    Wadau hivi app ya prox tv nawezaje kuinstall kwenye PC?
  3. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    6FM5TM Kampuni ni sportsbet
  4. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    6FM5TM Kampuni ni sportsbet
  5. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania WAPENZI WA NYIMBO ZA ANJILI NJOONI HAPA

    Kwaya ya m takatifu Cecilia mirerani
  6. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Pick Up (SINGLE CABIN)

    Nipe namba yako unayopatikana whatsapp
  7. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL

    Eeehh aisee tukawa akiingia tu kusalimia group tunamshangilia Madame,Madame kumbe madame ya nyokoo
  8. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL

    Mkuu Kwa hiyo hapo waandike maumivu maana naambiwa Hadi group lao limekuwa locked🤣🤣
  9. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL

    Ukishaona group limekuwa locked basi jiandae kisaikolojia... Mimi nilishalizwa 900k kwenye Ile sijui forex,,halafu makao makuu hukohuko Mbeya...Kuna mwamba tulikuwa tunajua ni Dem ndie MD tulizoea kumwita Madame Vero kumbe Njemba...mwanzo nikawa napewa mgao baadae group likawa ONLY ADMIN CAN...
  10. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL

    Kuna dogo nipo nae hapa kitaa ambae ni member wa LBL anakwambia kampuni ililetea na mama samia ili kuwapa ajira vijana,,anaamini Kila kitu wanachoambiwa kwenye groups zdo
  11. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL

    Anaweza akawa anaona tu figure,,kimbembe siku akitaka kutoa Sasa hiyo Hela yake ndio atajua hajui
  12. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL

    Mkuu hivi kenge ana masikio? Au ulimaanisha puani🤣🤣
  13. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL

    Hakuna biashara pale mkuu,,unachotakiwa kufanya ni kuweka 50,000 Hadi 540,000. Kisha wao wanakutumia movies tano Kwa siku (trailer).unatakiwa uzitazame zote Kila clip inakuwa na sekunde 10 then wao wanakulipa 18,000 per day ikiwa umeweka 540,000.usipotazama wao wanakata 18,000 ktk Ile pesa yako
  14. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL

    Wajinga wengi wanaamini maisha Yana short cut acha wapigwe
  15. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL

    Wapo waliopewa mwanzo ili wawashawishi wengine
Back
Top Bottom