Wakulima wa korosho Mtwara na Lindi ni wangapi? na hao wanaolalamika kuchelewshwa ni wangapi? mtoa taarifa au mwingine katika safu mwenye hii takwimu hizo utatusaidia sana tukiwa na takwimu hizo zitusaidie kutathmini zoezi la serikali kununua korosho. Vinginevyo maoni yote yanayotolewa kwa...
Ninaamini siyo kusudi mchokoza mada kutaka rais Magufuli awe madarakani miaka 30 au zaidi. Kwa sababu hata kama hilo linaweekana hawezi kuwepo kwa muda wote ambao Tanzania itakuwepo hapa duniani. Naamini kuwa nia yake ni kutufanya watanzania tufikirie critically ni mfumo gani uwepo ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.