Recent content by Mzee Tenga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Re: Why Did Nyerere Support Biafra? - Semantics !

    Tungo tata hii kaka, tufafanulie. Kiswahili hiki
  2. M

    JamiiForums Tanzania Re: Why Did Nyerere Support Biafra? - Semantics !

    anakuja hapa kwenye jukwaa la Watanzania ambako angeweza kujieleza kwa mikogo yote ya Kiswahili, kwa Kiingereza cha kuunga unga. Tafadhali tunaomba tafsiri ya hiki kiswahili chako, ili sisi waswahili tukuelewe kwa kiswahili chetu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Re: Why Did Nyerere Support Biafra? - Semantics !

    Lugha ya malkia wako ni lugha tuu kama lugha zingine. Na kama unataka kushindana na watu kuhusu hiyo hiyo lugha ya malkia wako humu wewe unaonekana mchwa. Zitto is cleary upset and in an agitated state. We all write rubbish in that state of mind. You moron, haya nenda kaangalie kwenye kamusi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Why Did Nyerere Support Biafra?

    Suala la biafra (Nigeria) na suala la ogadenia (Somalia) ni suala linalofanana katika kila kitu. Lakini Nyerere akakubaliana na Biafra, na akakataa ya Ogadenia. Suala la debeer, hata mpaka linatia kichefuchefu hata kulikumbuka. Ingawa kuna watu humu wanalitetea. After all debeer na biafra...
Back
Top Bottom