Recent content by Mzee Shuu

  1. Mzee Shuu

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupangisha Inapatikana Sinza E karibu kabisa na Lion Hotel

    Picha zingine za nyumba. Kingine nyumba iko mtaa mzuri, tulivu na wenye usalama wa uhakika. Umeme na maji pia vinapatikana..
  2. Mzee Shuu

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupangisha Inapatikana Sinza E karibu kabisa na Lion Hotel

    Nyumba kubwa na ndogo ndani ya fence moja. Parking ya gari ni kubwa yenye uwezo wa accommodate magari hadi madogo manne. Nyumba kubwa ina vyumba vinne kimoja kikiwa ni master bedroom, sitting hall, dinning hall and kitchen. Bei ni laki sita kwa mwezi. Kodi ni miezi sita au mwaka. Nyumba ndogo...
Back
Top Bottom