Recent content by MZEE OJUAN

  1. MZEE OJUAN

    Dark days 17/03/20

    .
  2. MZEE OJUAN

    TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Wakuu hebu tusaidizane namna ya kuitengeneza password kwenye account ya kuombea ajira maana nimechemsha
  3. MZEE OJUAN

    Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

    Wakuu unasajili vipi account ya kuomba ajira hizi maana nimeingia kwenye tovuti yao sijaweza kuona.Msaada tafadhali tutani
  4. MZEE OJUAN

    Sekretarieti ya Ajira ipitie tena na kurekebisha makosa kwa waombaji wenye sifa

    Mkuu vijana wengi hawapo serious.Wengi wanaombewa kazi kupitia stationary na hawahakiki kile kilichofanywa na mwingine kiko sahihi? Hapo kwenye suala la kuwekewa vyeti vya mtu mwingine ni uthibitisho wa hiki ninachokisema.PSRS haihusiki na kuwekea mtu vyeti kwenye profile yake.Vijana wanaoomba...
  5. MZEE OJUAN

    Utumishi kusitisha usahili wa walimu na kuendelea kukaa kimya bila ya kutoa sababu yoyote ile, je hii ni dharau kwa walimu?

    Hahaha. Mkuu kunywa supu ya nguruwe na chapati 7 usisahau na pilipili napita hapo nalipia
  6. MZEE OJUAN

    TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Waalimu tuache kuogopa usaili hapa ni mwendo mdudo.Shukuru mungu muda umeongezwa kwa kuhairishwa usaili sasa ni nafasi ya kupiga shule mpaka panel ikashangae ilikuwaje mpaka leo upo mtaani
  7. MZEE OJUAN

    TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Tunapokupa maswali tunapima uwezo wako wa ku retreve mambo ya mda mrefu.Haiwezekani kitu ukisomee na uwe na cheti nacho then uje useme umesahau hii no kitu hatari sana kwa ustawi wa elimu nchini. Sasa kama umesahau shuleni utaenda kukumbuka nini
  8. MZEE OJUAN

    TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Mimi ni mwalimu napendelea sana usaili ufanyike ili kupata mwl mahiri.Mwaka wa kumaliza si tatizo maana kama ulisoma ulaelewa sioni tatizo. Shida yetu waalimu tunaogopa usaili hii inaonesha tulikariri masomo pa si kuelewa.
  9. MZEE OJUAN

    Tupeane updates za ajira za walimu 2024

    Tujuze mkuu hatuna taarifa sahihi
  10. MZEE OJUAN

    Tupeane updates za ajira za walimu 2024

    Waalimu msikatishwe tamaa na watu wa jf.Ajira hizi mtapata kikubwa ni kuweka juhudi sana kwenye kila unachoelekezwa na PSRS.hata kama mmeitwa 300k ila nafasi ni 5 sema moyoni mwaka wangu huu na hao wa 5 mmoja ni mimi. #kaziindelee usisahau kujiandikisha kupiga kura
  11. MZEE OJUAN

    Hapa nimechanganyikiwa, siku yangu kufanyiwa interview na utumishi ndio Siku ya Harusi yàngu. Nifanyeje?

    Kapige usaili saa moja ndoa kafunge mchana jioni unapata matokeo huku umelala kifuani kwa mkeo ukiuugulia maumivu ya mkando kifuani mwake
  12. MZEE OJUAN

    Vituo vya usaili kwa walimu ni bado?

    Mwalimu jiandae kwa usaili wa kuandika hapo soma sana mambo ya darasani.Sasa hivi Taifa litahitaji jamii bora kwa maendeleo na ustawi wa Taifa,hivyo wewe chukua namba ya mtihani iandike pembeni iweke kichwani na uzingatie tarehe uliyoandikiwa.Mambo ya venue waachie PRSRS
  13. MZEE OJUAN

    Tupeane updates za ajira za walimu 2024

    Hahah kuna dogo IIIA kawa shortlisted nimeona pia tangazo la PSRS kule IG wakisema kuna changes kwa baadhi zimeanza kuonekana na ambao bado waendelee kupitia profiles zao
  14. MZEE OJUAN

    Tupeane updates za ajira za walimu 2024

    Habari wana JF haya kuna walioona changes kwenye profile zao. Tiririka mwalimu mwaka wako huu
Back
Top Bottom